Sunday 23 March 2014

SAUT-SEMA WAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MAKUMBUSHO YA MWL. NYERERE

TAREHE 23 MARCHI 2014 SAUT-SEMA WALIFANYA ZIARA KATIKA MAKUMBUSHO YA HAYATI BABA WA TAIFA NA MAKAAZI YAKE, ILIKUJIFUNZA MAISHA YA MWL. NYERERE NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KATIKA ENZI ZA UHAI WAKE.

Pata habari kwa picha
WANASAUT-SEMA WAKIWA NDANI YA BUS TAYARI KUANZA SAFARI



HAPA TUKAPATA MAPUMZIKO KIDOGO KABLA YA KUINGIA BUTIAMA


MARA TUKAWASILI SALAMA BUTIAMA NA HAPO WANASAUT-SEMA WAKAPIGA PICHA YA PAMOJA


KISHA TUKAWASILI RASMI MAKUMBUSHO YA MWL. NYERERE.


KAZI IKAANZA HIVI: MR. BWIRE (tour guider) ALIYESIMAMA KATIKATI AKITOA HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE NA MAKUMBUSHO.


 NDANI YA MAKUMBUSHO WANA SAUT-SEMA WAKIPATA MAELEZO .

NDANI YA MAKUMBUSHO KILA MMOJA ALISTAJABU KWA KILE ALICHOKIONA


BAADA YA KUTEMBELEA MAKUMBUSHO YA MWL. NYERERE, SAFARI IKAINGIA NYUMBANI KWA HAYATI BABA WA TAIFA


ENEO HILI NDIYO MAALUMU KWA KUZIMIA MWENGE WA UHURU.  PIA MAWANDA MAZURI NA MANDHARI NZURI YA MWITONGO UNAPATA KUIONA UKIWA HAPA.

MWL. NYERERE ALIACHA MAZINGIRA KUWA MFANO NA KIVUTIO KWA KILA MTU HAPA TANZANIA


JE, WAJUA KUWA KUANZIA MIAKA YA 1970 MWL NYERERE ALIKUWA NA SATELLITE DISH?
PIA TAZAMA NI JINSI GANI ALIVYO YAHIFAZI MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI


HII NI SEHEMU YA MSITU ALIOUHIFADHI MWL. NYERERE ENZI ZA UHAI WAKE.


BILA YA KUHARIBU MAZINGIRA NYUMBA YA MWL. NYERERE ILIJENGWA JUU YA MAWE
HAPA MAZINGIRA NA UPEPO MWANANA UTAKUFANYA UJISIKIE NYUMANI

 
MADARAKA NYERERE MWANA WA MWISHO WA MWL. AKAPATA WASAA WA KUZUNGUMZA NA WANA SAUT-SEMA

MWENYEKITI WA SAUT SEMA AKAMKABIDHI NDG. MADARAKA NYERERE ZAWADI YA FULANA KWA KUTHAMINI MCHANGO WA MWL. KATIKA KUYATUNZA MAZINGIRA

BAADA YA MAZUNGUMZO NA MADARAKA NYERERE WANASAUT-SEMA WAKAPATA PICHA YA PAMOJA.

BAADA KUFANYA SHUGHULI YA UTALII WANA SAUT-SEMA WAKAJUMUIKA PAMOJA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA
Dada Jesca Jackson Akijichana polepole


Mambo yalikuwa hivi.
HATIMAYE SAFARI  YETU IKAHITIMISHWA KWA WANA SAUT-SEMA KUREJEA SAUT-MALIMBE.

Picha na Afisahabari wa SAUT-SEMA

Ngogo Mang'enyi

0785462479




Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani