Sunday, 2 November 2014

                              mhasibu wa sauti sema akipanda miti
Katibu wa sauti sema akishiriki kupanda miti

Mwenyekiti wa sema kushoto na ICT sema kulia wakipanda miti katika eneo la rugambwa malimbe mwanza
WANASEMA WAKIFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA KUPANDA MITI



                                Zoezi la upandaji miti likiendelea katika eneo la Rugambwa-Malimbe
SEMA-SAUTI WALIPIGA PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUANZA ZOEZI LA KUPANDA MITI KATIKA ENEO LA RUGAMBWA MALIMBE

TUNZA MITI PANDA MITI

  Hii ni moja Kati ya harakati kubwa za chama chetu Pinga ukataji WA MITI