Saturday, 30 November 2013

SAUT-SEMA SIKU YA COMMUNITY DAY





Kutoka kulia Tibezuka Katalyeba-M/Kiti, Haule Edmund-Afisa Mahusiano na Ndugu Respicius George-Co-ordinator wa SAUT_SEMA wakionyesha baadhi ya vyanzo vya mapato vya SEMA.


Mwenyekiti wa SEMA Ndugu Tibezuka Katalyeba Akitoa Maelezo kwa wageni waliofika katika banda la SEMA

Makamu Mkuu wa chuo Rev. Dr. Fr. Mgeni na Mgeni Rasmi Wakisikiliza ufafanuzi wa jambo walipo fika ndani ya banda la SAUT-SEMA na kujionea shughuli za SEMA

Wanachama wapya nao walipata fursa ya kjiunga na SAUT-SEMA baada ya kupendenzwa na shughuli za SEMA

M/Kiti Msaidizi wa SAUT SEMA ndugu Maige Aristides na Dada yetu Kudra Mkute ambaye ni Katibu Wakiimba shairi la Mazingira kwa Mgeni rasmi wa Community Day leo 29/11/20013


No comments:

Post a Comment

TUNZA MITI PANDA MITI

  Hii ni moja Kati ya harakati kubwa za chama chetu Pinga ukataji WA MITI