Monday 14 December 2015

SAUT-SEMA members in the cleanness of the environment on 9th December 2015

SAUT-SEMA members in the cleanness of the environment on 9th December 2015



Vice Chair-person Said Abdallah  was uprooting the branches of trees





Chair person Misango Mtani emphasized members to make cleanness





































Wanachama wa Saut-Sema wakifanya usafi maeneo ya M 1 & M 2






Wanachama wa Saut-Sema wakifanya usafi maeneo ya ATM



Mtunza fedha wa Saut-Sema akiwa anafanya usafi maeneo ya chuo





Wanachama wa Saut-Sema wakifanya usafi maeneo ya ATM kwa mbele



Wanachama wa Saut-Sema wakifanya usafi maeneo ya Stendi ya daladala






P.R.O Mwanakatwe wa Sema akiwa anatoa mwongozo kwa wanachama wake

Mwenyekiti msaidizi Said Abdallah, akizungumza na wanachama wake baada ya usafi kumalizika

Katibu Oscar Frank akigawa biscuit na soda kwa wanachama wake baada ya usafi kumalizika

Wanachama wakijipongeza baada ya usafi kuisha



Wanachama wa Sema wakiwa wamepiga picha ya pamoja.


Wanachama wa Sema wakiwa wamepiga picha ya pamoja.



Wanachama wa Sema wakiwa wamepiga picha ya pamoja baada ya usafi.











Wanachama wa Sema wakipata vinjwaji baada ya usafi kuisha






No comments:

Post a Comment

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani