TAREHE 12/7/2016 MAKABITHIANO YA VIFAA VYA USAFI KUTOKA SEMA SAUT KWENDA KWA UTAWALA WA CHUO KATIKA JUHUDI ZA KUYATUNZA MAZINGIRA |
| Wahusika walikuwa ni Uongozi wa chuo, Idara ya Geografia, Uongozi wa SAUT SEMA , Na watu wa Mazingira hapa chuoni |
| Mwenyekiti wa SEMA SAUT Bw. PETRO DAUD akitoa neno kwa niaba ya SEMA baada ya makabithiano hayo |
| Mwakilishi wa Uongozi wa Chuo Rev. Fr MABULA akitoa neno la shukrani na kupongeza SEMA kwa hatua hiyo. |
| Mlezi wa SEMA SAUT Mr JOSEPHAT MABUYE AKIONYESHA BAADHI YA DUSTBINS HIZO |
| Baadhi ya viongozi waliokuwepo ( LOSIYO CHARLES --Secretary & MWANISAWA PAUL --coordinator) |
No comments:
Post a Comment