Wednesday 21 December 2022

KUMBUKIZI YA HAYATI MWL. JULIUS NYERER E



Tuungane Kwa pamoja katika kuadhimisha miaka 23 ya KUMBUKUMBU ya kifo Cha aliyekua Rais wa kwanza Tanzania HAYATI Mwl. Julius K Nyerere
Kwa niaba ya uongozi wa sautsema tunayaenzi mengi ikiwa ni pamoja na kuimarisha Amani,Mungano na pia uzalendo Kwa viongozi na kuacha mazingira na Njia safi Kwa viongozi wajao na kizifuata falsafa zake za kiongozi
SAUTSEMA
Life prosperity depends on Environment
Imetolewa na ICT OFFICER
SAUTSEMA

Raphael S Msukuma 

No comments:

Post a Comment

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani