Ni Siku ya UKIMWI Duniani ni fursa muhimu ya kuongeza uelewa kuhusu VVU na UKIMWI, kuwakumbuka waliopoteza maisha, na kush
01.12.2022
erehekea ushindi kama vile kuongezeka kwa upatikanaji wa matibabu na huduma za kinga. Matukio yanafanyika ili kusaidia kutokomeza unyanyapaa unaozunguka VVU/UKIMWI, kuongeza uelewa wa uhusiano kati ya VVU na UKIMWI, na kutafuta fedha kwa ajili ya kuzuia maambukizi ambayo yanaweza kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
Tungane Kwa pamoja kama jamii ya saut-sema katika kujenga msingi Bora ya kuishi vyema na makundi hayo na kutoa elimu juu ya VVU/ UKIMWI
Imetoleea na ICT SAUTSEMA
Raphael Msukuma
SAUT- SEMA
Life prosperity depends on Environment
No comments:
Post a Comment