Wednesday 21 December 2022

Makumbusho ya waingereza (Boma Gunzet house) yaliyoko mwanza Nyamagana.


SAUTSEMA 

 LIFE PROSPERITY DEPENDS ON ENVIRONMENT"

Uongozi wa SAUT SEMA chini ya M/kiti Laizer S Nyungu unatoa shukrani za dhati kwa wanachama wake wote walioshiriki katika ziara fupi ya kutembelea jengo la makumbusho ya waingereza (Boma Gunzet house) yaliyoko mwanza Nyamagana.
Ziara hii ilifanyika chini ya Mlezi wao Dr.Ngogo MN.tarehe 9/12/2022
Aidha Uongozi wa SEMA unaendlea kuwaasa wanachama wake kuendlea kuwa active kwani yapo mengi ya kuendlea kufanya kwa maendeleo ya taasisi hii.
Mwisho tunatarajia kuwa na ziara ya kutembelea Buhongwa Sanitary Landfill soon baada ya kukamilisha taratibu zote itatangazwa rasmi.
Imetolewa:
mwenyekiti sautsema
Laizer S Nyungu
0624356443

lupitia kw ICT SAUTSEMA
Raphael Msukuma

No comments:

Post a Comment

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani