Thursday 22 December 2022

Maonesho ya kitaaluma SAUT [COMMUNITY DAY]




Makamu Mkuu Wa Chuo Upande Wa Taaluma Katika Chuo Cha Saut Pro. Hosea Rwegoshora Amewapongeza Wanachama Wa Saut-Sema Kupitia Kazi Nzuri Ya Maonesho Ya Kitaluma (Community Day ) Chuoni Hapo

Pro. Rwegoshora Ambaye Alikua Mgeni Ramsimi Katika Maonesho Hayo  Amesema Kupitia Uwezo Wa Kuelezea Na Kubuni Nadharia Kivitendo Kimewafanya Kuonesha Umahiri katika Utunzania Na Usafishaji Salama Wa Mazingira Ndani Na Nje Ya Chuo

Aidha Mwenyekiti Wao Laizer S Nyungu amesema Wamepata Nafasi Ya Kuonesha Vitu Kama Namna Ya Utunzaji Na Utumiaji Nzuri Wa Taka Zinazoweza Kufanya Katika Shughuli Nyinginezo Kama Ufugaji Mapambo.

Maonesho Hayo Hufanyika Kila Mwaka  Hususani Mwezi Wa 12 Kutegemeana Na Tarehe Kupitia Kalenda Ya Matukio Ya Chuo(Saut Almanac) Ambapo Wanafunzi Hupata Fursa Ya Kuonesha Nadharia na Vitendo Kitaaluma Zaidi.


ICT SAUTSEMA 

Raphael Msukuma 

No comments:

Post a Comment

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani