Wednesday 21 December 2022

UKARIBISHO WA WANACHAMA SAUTSEMA 2022/2023





SAUT-SEMA (St Augustine University of Tanzania ,Students Environmental Management Association)
life prosperity depends on the Environment
Kwa niaba ya uongozi wa sautsema tunawakaribisha mwaka wa kwanza na Wanachama wapya katika kushiriki nasi Kwa namna yoyote Ile utunzaji na uhifadhi mazingira kutoa elimu na semina mbalimbali za kuhamasiaha usafi wa mazingira yanayo tuzunguka
Manufaa ni mengi lakini kubwa ni kua mwamachama halali,kushiriki matukio mbalimbali ndani na nje ya chuo Cha saut Mwanza, kutunukiwa cheti na kuwa mstari wa mbele kuelimisha usafi wa mazingira yanayo tuzunguka
Tunawakaribisha sana SAUT MWANZA tunawakaribisha sautsema Kwa manufa jamii na kizazi kijacho katika kutunza mazingira
Karibuni sana
SAUTSEMA
"Life prosperity depends on the environment"
Imetolewa na ICT SAUTSEMA
Raphael Msukuma






No comments:

Post a Comment

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani