Saturday 28 January 2023

Zoezi la usafi kando ya ziwa Eneo la kigongo feri


Uongozi wa SAUT SEMA chini ya Mwenyekiti``` *LAIZER S. NYUNGU* ```unawapongeza wanachama wake waliofanikiwa kushiriki zoezi la usafi uliofanyika leo hii KAMANGA FERRY.


Uongozi unawapongeza kwa kushiriki tukio hili kubwa la usafi wa Mazingira lililoandaliwa na TAHLISO MWANZA AMBAPO Pongezi hizo pia ziwafikie TAHLISO kwa kuthamini Mazingira na kuandaa tukio hilo Muhimu kwa utunzaji wa Mazingira.

aidha Tunatambua pia uwepo wa wanachama wa SAUT SEMA waliotamani kushiriki lakini kwasababu zilizokuwa juu wa uwezo Wao hawakufanikiwa kushiriki. ,Wito wetu kama Viongozi, tunawaomba tuendelee kushirikiana na kujitolea katika Shughuli mbalimbali za utunzaji wa Mazingira na kuiendeleza taasisi yetu (SAUT SEMA)

LIFE PROSPERITY DEPENDS ON ENVIRONMENT.

Imetolewa na:

Erick Victor Mbugi

KATIBU SAUT SEMA.


Kupitia Ofisi ya ICT SAUT SEMA

Raphael Msukuma

No comments:

Post a Comment

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani