Wednesday, 5 February 2025

TUNZA MITI PANDA MITI

 

Hii ni moja Kati ya harakati kubwa za chama chetu
Pinga ukataji WA MITI 

Wednesday, 5 July 2023

Saturday, 28 January 2023

Zoezi la usafi kando ya ziwa Eneo la kigongo feri


Uongozi wa SAUT SEMA chini ya Mwenyekiti``` *LAIZER S. NYUNGU* ```unawapongeza wanachama wake waliofanikiwa kushiriki zoezi la usafi uliofanyika leo hii KAMANGA FERRY.

Thursday, 22 December 2022

Maonesho ya kitaaluma SAUT [COMMUNITY DAY]




Makamu Mkuu Wa Chuo Upande Wa Taaluma Katika Chuo Cha Saut Pro. Hosea Rwegoshora Amewapongeza Wanachama Wa Saut-Sema Kupitia Kazi Nzuri Ya Maonesho Ya Kitaluma (Community Day ) Chuoni Hapo

Wednesday, 21 December 2022

Makumbusho ya waingereza (Boma Gunzet house) yaliyoko mwanza Nyamagana.


SAUTSEMA 

 LIFE PROSPERITY DEPENDS ON ENVIRONMENT"

Uongozi wa SAUT SEMA chini ya M/kiti Laizer S Nyungu unatoa shukrani za dhati kwa wanachama wake wote walioshiriki katika ziara fupi ya kutembelea jengo la makumbusho ya waingereza (Boma Gunzet house) yaliyoko mwanza Nyamagana.

uhuru wa Tanganyika ni wetu sote [JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA ]

 


SAUT-SEMA

uongozi na Wanachama Kwa ujumla unawatakia watanzania wote siku kuu ya uhuru 9/12/1961
Tutunze mazingira
Nayo yatutunze

Ni Siku ya UKIMWI Duniani



Ni Siku ya UKIMWI Duniani ni fursa muhimu ya kuongeza uelewa kuhusu VVU na UKIMWI, kuwakumbuka waliopoteza maisha, na kush

01.12.2022 erehekea ushindi kama vile kuongezeka kwa upatikanaji wa matibabu na huduma za kinga.

TUNZA MITI PANDA MITI

  Hii ni moja Kati ya harakati kubwa za chama chetu Pinga ukataji WA MITI