Thursday, 22 December 2022

Maonesho ya kitaaluma SAUT [COMMUNITY DAY]




Makamu Mkuu Wa Chuo Upande Wa Taaluma Katika Chuo Cha Saut Pro. Hosea Rwegoshora Amewapongeza Wanachama Wa Saut-Sema Kupitia Kazi Nzuri Ya Maonesho Ya Kitaluma (Community Day ) Chuoni Hapo

Wednesday, 21 December 2022

Makumbusho ya waingereza (Boma Gunzet house) yaliyoko mwanza Nyamagana.


SAUTSEMA 

 LIFE PROSPERITY DEPENDS ON ENVIRONMENT"

Uongozi wa SAUT SEMA chini ya M/kiti Laizer S Nyungu unatoa shukrani za dhati kwa wanachama wake wote walioshiriki katika ziara fupi ya kutembelea jengo la makumbusho ya waingereza (Boma Gunzet house) yaliyoko mwanza Nyamagana.

uhuru wa Tanganyika ni wetu sote [JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA ]

 


SAUT-SEMA

uongozi na Wanachama Kwa ujumla unawatakia watanzania wote siku kuu ya uhuru 9/12/1961
Tutunze mazingira
Nayo yatutunze

Ni Siku ya UKIMWI Duniani



Ni Siku ya UKIMWI Duniani ni fursa muhimu ya kuongeza uelewa kuhusu VVU na UKIMWI, kuwakumbuka waliopoteza maisha, na kush

01.12.2022 erehekea ushindi kama vile kuongezeka kwa upatikanaji wa matibabu na huduma za kinga.

Tarehe 16.10.2022 Siku ya Chakula

Duniani Leo karibu watu milioni 870 duniani kote wana utapiamlo wa kudumu.
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) la Umoja wa Mataifa linaadhimisha Siku ya Chakula Duniani ili kuhamasisha uelewa wa tatizo la njaa duniani, kuimarisha mshikamano wa kimataifa na kitaifa katika mapambano dhidi ya njaa, utapiamlo na umaskini, na kusisitiza mafanikio katika chakula. na maendeleo ya kilimo.

KUMBUKIZI YA HAYATI MWL. JULIUS NYERER E



Tuungane Kwa pamoja katika kuadhimisha miaka 23 ya KUMBUKUMBU ya kifo Cha aliyekua Rais wa kwanza Tanzania HAYATI Mwl. Julius K Nyerere

SIKU YA WAALIMU DUNIANI


 Tarehe 05.10.2022

Siku ya Walimu Duniani
Ndugu mwanachama na kiongozi wa SAUSEMA siku hii imekuwa fursa ya kuashiria mafanikio na kutafakari njia za kukabiliana na changamoto zilizosalia za kukuza elimu na taaluma ya ualimu, kama uhaba mkubwa wa walimu. Kwa hakika, kwa mujibu wa Taasisi ya Takwimu ya UNESCO, dunia inahitaji walimu Milioni 69 ikiwa tunataka kufikia elimu ya msingi na sekondari kwa wote ifikapo 2030.

UKARIBISHO WA WANACHAMA SAUTSEMA 2022/2023





SAUT-SEMA (St Augustine University of Tanzania ,Students Environmental Management Association)
life prosperity depends on the Environment
Kwa niaba ya uongozi wa sautsema tunawakaribisha mwaka wa kwanza na Wanachama wapya katika kushiriki nasi Kwa namna yoyote Ile utunzaji na uhifadhi mazingira kutoa elimu na semina mbalimbali za kuhamasiaha usafi wa mazingira yanayo tuzunguka

Siku ya mazingira duniani

SAUT-SEMA Life prosperity depends on Environment Siku ya mazingira duniani